Khatibu wa muda wa Sala ya Ijumaa hapa mjini Tehran, Ayatullah Sayyid Ahmad Khatami ametoa onyo kali kwa Rais Obama Marekani na kusema kuwa Marekani itathubutu kuishambulia Iran basi watajuta kosa lao hilo.
Habari ID: 1369542 Tarehe ya kuchapishwa : 2014/02/02